ikiganda vitu vyengine vinafanyika? mfano inaganda huku unaangalia video, ile video nayo inanata? au video inaendelea kucheza. next time ikinata jaribu kufanya combination yoyote ya keyboard kama alt+f4, ctrl+alt+del etc kama ikinata mouse vitu vyengine pia havifanyi kazi pengine tatizo ni hdd