Kwa kifupi umepata virus ya Ghost Push kwa vile umedownload apps kutoka sehemu zisizoeleweka, virus hii inaifanyia rooting device yako kisha inaanza kuinstall app bila idhini yako.
Kwa vile virus hii ina root access ukifanya reset ya kawaida haitatoka kwenye simu, njia mathubuti ya kuzitoa virus ya namna hii ni kuiflash simu yako na original ROM ambayo itafuta kila kitu kwenye simu.
Kabla ya hilo jaribu kutumia App hii uone kama itaweza kuiondoa.
Stubborn Trojan Killer - Android Apps on Google Play
then install hii.
Lookout Security & Antivirus - Android Apps on Google Play