Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 352
Huna hata advansi ya kuanzia??Habari zenu mabibi na mabwana. naomba kuuliza kwayeyeto anaefaham OFICI ao MTU binafsi wanao jihusisha na kutoa mikopo ya magari. Naitaji Gari aina ya NOAH old model, ao Toyota CARINA Ti. naitaji moja kati yahayo magari, kwaajili ya biashara. Gari Iwe nzima isiwe na tatizo lolote. Mimi ni mjasiriamali Nafuga kuku pia Namiliki Duka la vipodozi. Napatikana Dar es salam Tegeta. karibuni
Ashasema kukudhamana yako nini?
Kama kiasi gani boss wangu. 10% itakuwepo bossHuna hata advansi ya kuanzia??
Dhamana yangu ni biashara zangu, kadi ya Gari unabaki Nayo. nakupa na 10%dhamana yako nini?
fafanuwa kidogo boss, kama kiasi gani kwakuanzia na wapi yaani OFICI gani nitapata Huduma hiyoungekua ata na tumilioni kadhaa twa kuanzia then unalipa kwa instalment