Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Hi
Fuatilia historia ya mkeo kuna kitu kilishawahi muumiza sana so huwa kama kinazunguka kwenye mind yake 2.huenda wakati wa uchumba alitegemea mengi ila anaona kama mambo hayaendi so inam frustrate 3. Huenda anashida ambayo anaiweka moyoni so inamdisturb 4.huenda pia baadhi ya maneno yako huwa anayabeba na kuyawaza ikiwa ww unaona normal talk lakin mwenzako anayatafakar mbali zaid 5.jua hobies zake huenda pia kuna vitu kama kavikosa tangu awe na ww so anajionea kero tu.....KWANGU HAYO TUWana JF na wale Dr wa MAHOSPITALI SIO AKINA SANGOMA naomba kuuliza kama Kuna Dawa ya kupunguza hasira au kupooza bad attitude ,mnaweza kukuta mnaongea na kucheka vizuri ,ghafla anabadilika na kuwa na hasira sana hata kama ni kitu kidogo tuu ,nimekaa naye kwa mwaka mzima naona habadiliki kabisa .Ni shida tuu na mtu asiyekuwa na furaha hata kidogo ikizidi furaha ni masaa 5 rest of the day bad altitude ,Nakumbuka nilvyokuwa Kalamazoo Michigan, Kuna my coworker alikuwa na matatizo kama hayo lakini sikutilia maana naweza kuja kuoa someone like him .sasa nafikiri sana ni aina gani ya ugonjwa waheshimiwa Dr wa MAHOSPITALI please. Leo hii nimepata Email from my friend anasema ni aina ya Ugonjwa unaoitwa bypollar sina uhakika na spelling za hilo neno waheshimiwa Dr wa MAHOSPITALI. NAWAOMBENI sana sana wataalamu wa brain kama Kuna Dawa za kukufanya uwe na furaha .Ni msalaba wangu mola amenipa na sina jinsi ya kufanya .NAWAOMBENI sana msinikwaze kwani ni ugonjwa ,huwezi kujua leo kwangu kesho kwako .HATA KAMA UNAMJUA DR WA MEDULLA NAOMBA MNISAIDIE KUULIZIA WAKUU WA NCHI .THANKS YOU GUYS AND GOD BLESS YOU GUYS,
Kaka huna haja ya kuwaza utapoteza hata ham ya kufanya kaz mwishowe utaamua maamuzi yasio na busara.Sasa hivi imefikia mahali namwaza sana .mpaka na mimi inaniletea shida .Badala ya kufikiria ukienda home there are joyful but is opposite direction. Mpaka navyoongea vidonda vya tumbo vimeamka nakaa kiupande upande tuu JAMANI,
Sasa hivi imefikia mahali namwaza sana .mpaka na mimi inaniletea shida .Badala ya kufikiria ukienda home there are joyful but is opposite direction. Mpaka navyoongea vidonda vya tumbo vimeamka nakaa kiupande upande tuu JAMANI,
Mkuu usijali inatibika .... need uvumilivu na uwe unaukaribu na upole wa maneno!! juice ya ndimu itumie sana!!Thanks you guys a lot for supporting me in this bad situation I'm going through.God bless u again my friends. Ukiona mwanaume anaomba msaada Jua yamefika shingoni.