Msaada: MiracleBOX Thunder cant open

Msaada: MiracleBOX Thunder cant open

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
611
Reaction score
641
Hii ni version flani hivi ya miracle box nimeweza kuipata jana
nimefanya full installation lakini kila nikiifungua hollah... ina pop up picture fulani hivi alafu inapotea bila kufunguka

msaada wenu jamani katika hili
%temp folder% nimefuta
na hata tarehe nimeset vizuri... TATIZO NI NINI?

hiyo ndio picture inayopop up baada ya kuifungua miracle na kupotea
Screenshot (9).png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom