Nilinunua flat screen ya Sony Bravia inayosupport MHL.Tatizo sio simu zote zina hii feature ya MHL yaani kudisplay contents za simu kama picha na yotube videos kwenye screen ya TV.Naomba ambaye anajua simu zenye hii feature zinazopatikani kiurahijisi hapa nchini anijulishe.
Asante kwa ushirikiano unaoonyweshwa kwenye hili jukwaa.
Asante kwa ushirikiano unaoonyweshwa kwenye hili jukwaa.