pole, ungekua huko kwa kijiji yetu ngekupeleka kwa zee la kufunga miteguko na mivunjiko yaa aina zote,
na siku izi serikali wamempatia kabisa na daktari wa hospitali kama msaidizi maana zee lenyewe halina shule ni darasa la saba, kabsaa...
Tiba yake sasa, kama umeteguka au kuvunjika akipapasa na kubaini penye hitilafu, dactari akuchoma ganzi zee lenyewe linafanya kama kuchomoa au kutenganisha palipovunjika kisha anarudishia kama anaplag chaji ya cm kwenye umeme kisha anafunga kwa nguvu sana,
within 3days unatembea vizuri kabisa
kwa hapo town nenda tu hospital vinginevyo utapata tabu sana....