saidhafidh
Senior Member
- Apr 10, 2013
- 119
- 8
Nenda kiete pharmacy MwengeNaomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan nimezitafuta sana cjazipata
Msaada wapendwa
View attachment 2063549
View attachment 2063550
Sasa si ni obvious tu mkuu??..kwamba testosterone zikiwa chini shida inatokea??..why umuulize?Pole sana, ila si inasimama na unamkula ipasavyo mke wako?
AsantNenda kiete pharmacy Mwenge
Au Faru kitu kama hivyo jina ipo manzese
Unaweza kupata
NakieteNenda kiete pharmacy Mwenge
Au Faru kitu kama hivyo jina ipo manzese
Unaweza kupata
MImi shida yangu hio daw . Sina tatizo la kutosimamisha nasimamish km kawaidSasa si ni obvious tu mkuu??..kwamba testosterone zikiwa chini shida inatokea??..why umuulize?
Hata sina sema najua hizi pharmacy ni kubwaAsant
Vip nawez kupata contact ili niwasiliane nao au tunafanyaje ili tupateuhakika km dawa ipo maan mm nakaa mikoan ili nikija dar niwe nanuhakika km dawa ipo na bei niijue
Ok poa asant nitaingia google ila naomba msaadawako uniulizie huko dar ukipat duka linalouzwa niambia ninashida naz sanaaaHata sina sema najua hizi pharmacy ni kubwa
Ebu jaribu kugoogle unaweza kufanikiwa kupata no zao
Pole sana. Naikumbuka hi dhahma.MImi shida yangu hio daw . Sina tatizo la kutosimamisha nasimamish km kawaid
Cjakuelewa nduguSo niende kuulizia dawa halafu kama zipo ndiyo uje kununua?
Si umesema haupo Dar so hauwezi kwenda Nakiete au Faru? Ndiyo nimeuliza kwahiyo nikienda kuulizia wakisema kama ipo ndiyo utakuja Dar kununua?Cjakuelewa ndugu
Mm shida yangu ni hio dawa wap nitaipata km ww unawez kundaidia ntashkuru sana
Si umesema haupo Dar so hauwezi kwenda Nakiete au Faru? Ndiyo nimeuliza kwahiyo nikienda kuulizia wakisema kama ipo ndiyo utakuja Dar kunu
Sio wewe utakayoimeza??MImi shida yangu hio daw . Sina tatizo la kutosimamisha nasimamish km kawaid
Acha ushapunaku wewe kilaza..ndo uonekane unajua au?Pole sana, ila si inasimama na unamkula ipasavyo mke wako?
Mshamba huyo anataka aonekane anajua.Sasa si ni obvious tu mkuu??..kwamba testosterone zikiwa chini shida inatokea??..why umuulize?
Ni kweli ina ponya tatizo la nguvu? Na je, haina side effects za muda mrefu kama figo, ini na mwishowe Cancer?Pole sana. Naikumbuka hi dhahma.
Nilipata Lifeline Pharmacy pale Muhimbili.
Leo naenda kununua dawa za mtoto kwenye wholesale Pharmacy K/koo kama hutojali tuwasiliane 0745090905 nitakuchekia.