daisyvicky JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 343 Reaction score 198 Mar 18, 2013 #1 wadau meweka memory card ya 2 GB kwenye simu nokia asha 303...lakini simu inakua nzito na inafanya kazi taratibu mno eg kufungua files hata kwenye kutumia internet...nini tatizo?na nifanyeje kuhusu hii memory card?
wadau meweka memory card ya 2 GB kwenye simu nokia asha 303...lakini simu inakua nzito na inafanya kazi taratibu mno eg kufungua files hata kwenye kutumia internet...nini tatizo?na nifanyeje kuhusu hii memory card?