Havina shida ukichukulia kuwa ni gari ndogo kwa hiyo mtumizi yake yazingatie udogo wake.Duh, hakuna wataalamu wa hii kitu??
Usichukue 3 utajuta,nilikuwa nako mh vinasumbua sana gear box
Gearbox ilikua inafanyaje?Ni kweli kabisa, mimi mwenyewe nilikuwa nacho cha cc 1290 3 cylinders, kilikuja kuzingua gearbox ni hatari.
Hizo gari zipo za 3cylinder na zipo za 4cylinder. 3cylinder power yake ni ndogo hivyo matumizi yake lazima yazingatiwe na ukubwa wake usitake ya 3cylinder iperform kama ya 4cylinderWadau Kwema??,
Nilikua nawaza kuongeza gari ndogo home, Shemeji yenu atalitumia pia hata mimi inaweza kunisaidia pale hela ya wese ikigoma kupatikana kwenye gari ya sasa. Sasa katika kuzunguka zunguka mitandaoni nimekutana na hizi gari zinaitwa Passo, kabila la Toyota.
Hizi gari nimezikuta bei zake ziko chini sana kiasi kwamba hata gari imported yenye mwaka mmoja tu Tanzania unaweza kuipata kuanzia Tshs 5mil. Nimeona pia kwa mwaka jana mwanzoni watu walikua wakiziuza mpaka Tshs 6.5mil recently imported by that time. Yaani vina bei ya Chini kuliko hata Porte, Vitz, Duet, Funcargo, Suzuki Kei, etc
Urahisi huu wa bei umenifanya niwaze pengine hivi vigari ni vimeo ndio maana vina bei ya chini, na pengine walioviagiza baada ya kuvigundua ni kimeo wakawa wanawasukumia msala wengine (nimedhani, sina uhakika).
Sasa basi, kuna mdau yeyote humu anaevijua hivi vigari kiundani labda?? Au ni vizima sema tu havivutii ndio maana vinauzwa cheaper??
Gearbox ilikua inafanyaje?
Piston 3 ni kama bajaji tunilikuwa nazipenda hzo za cylinder tatu badae kuna wadau wanakwambia mliman kinatetemeka
Alafu wakaishusha gearbox? Maana mimi kila sehemu niliyokua naenda walikua wanataka kuifungua gearbox nikawa nakataa. Alafu piston3 ni engine ndogo sana hivyo lisikudanganye jumba la gari, hizi ni nzuri kwa misele ya town tu sio safari ndefu na kama safari ndefu basi mdogo mdogo usilazimishe itembee kama 4pistonNi kama vile gari ilikuwa inaanza kuondoka na gear namba mbili au tatu, yaan ukitaka kuondoka lazima ukanyage mafuta ya kutosha, baadaye ikaja kuwa haina nguvu kabisa, hata kwenye kimlima kidogo kupanda lazima nitoke speed otherwise nafeli kabla ya kufika katikati.
Kama upo poa tafuta ata vitz mkuu. Tatizo lingine la passo ni spare zake zipo ghari sanaWadau Kwema??,
Nilikua nawaza kuongeza gari ndogo home, Shemeji yenu atalitumia pia hata mimi inaweza kunisaidia pale hela ya wese ikigoma kupatikana kwenye gari ya sasa. Sasa katika kuzunguka zunguka mitandaoni nimekutana na hizi gari zinaitwa Passo, kabila la Toyota.
Hizi gari nimezikuta bei zake ziko chini sana kiasi kwamba hata gari imported yenye mwaka mmoja tu Tanzania unaweza kuipata kuanzia Tshs 5mil. Nimeona pia kwa mwaka jana mwanzoni watu walikua wakiziuza mpaka Tshs 6.5mil recently imported by that time. Yaani vina bei ya Chini kuliko hata Porte, Vitz, Duet, Funcargo, Suzuki Kei, etc
Urahisi huu wa bei umenifanya niwaze pengine hivi vigari ni vimeo ndio maana vina bei ya chini, na pengine walioviagiza baada ya kuvigundua ni kimeo wakawa wanawasukumia msala wengine (nimedhani, sina uhakika).
Sasa basi, kuna mdau yeyote humu anaevijua hivi vigari kiundani labda?? Au ni vizima sema tu havivutii ndio maana vinauzwa cheaper??
Alafu wakaishusha gearbox? Maana mimi kila sehemu niliyokua naenda walikua wanataka kuifungua gearbox nikawa nakataa. Alafu piston3 ni engine ndogo sana hivyo lisikudanganye jumba la gari, hizi ni nzuri kwa misele ya town tu sio safari ndefu na kama safari ndefu basi mdogo mdogo usilazimishe itembee kama 4piston
Hahahahah aisee pole sana. Basi hizi gari gearbox zake zina controlbox hivyo ni vizuri kuwaona mafundi umeme piaSorry yangu mimi ilikuwa piston 4, kilikuwa na nguvu. Nakumbuka mwanzoni nilivyonunua Dar Iringa, Dar Moshi non stop nilikuwa naenda, ila aste aste.
Mimi sikushusha, ilitokea rafiki yangu alipata nacho ajali kikafa moja kwa moja.