Msaada: Mayai ya Bata kwenye Incubator

Mbilikimo Mfupi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
980
Reaction score
1,225
Habari ya leo
Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania.

Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya incubator linatakiwa kuwa kiasi gani?

NB- Mayai nitachukua kwa mdau mwenzetu anayefugia Chanika DSM
 
Ngoja Wataalam Waje Nami Nipate Maarifa Nina Pekin Wanataga Sasa Wale Hawaltamii. Nawaza Kumpa Bukini Anayetaga Maana Yule Huwa Anaatamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…