Msaada: Mawasiliano ya TRA Kongwa

Msaada: Mawasiliano ya TRA Kongwa

cecil dom

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
47
Reaction score
11
Habari za majukumu wakuu,

Naomba kupewa mawasiliano yeyote ya mfanyakazi au mawasiliano ya ofisi ya TRA Kongwa, mimi nipo Mpwapwa nilitaka kuuliza kuhusu bei ya kulipia mapato kwa gari aina ya noah kwa mwaka mzima ni kiasi gani ili nikalipie maana nina noah ya biashara.
 
Back
Top Bottom