Msaada: Maumivu ya mwili

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,568
Reaction score
3,644
Habari zenu wakuu.

Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili.

Iko hivi. Karibuni hivi kuna tatizo limeanza kunipata.
Mwili unaniuma kama vile nimefanya mazoezi mazito ambayo sijawahi fanya.

Chukulia mfano umepiga push up. Baada ya muda yale maumivu yanakuwaga ndio nayopapitia saaa hivi. Leo siku ya nne.

Lakini sijafanya mazoezi kama mwezi sasa.

Japokuwa kabla nilikuwa nafanya nikaacha ghafla. Kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wangu.

Sasa kwa maelezo hayo. Shida inaweza ikawa nini.?

Kama kuna mtu ako na ABC za hili anisaidie. Tafadhali. Nakosa raha.

Msaadaaa.

Pia muwe na wakati mwema.

At Calvary.
 
Habari zenu wakuu.

Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili....
Mkuu pole sana kwa kuumwa na mwili wako hujakwenda hospitali kumuona Daktari? Leo unaumwa siku ya 4.

Kuumwa kwa mwili kunatokana na wewe kuacha gafla kufanya mazoezi uliyo kuwa unayoyafanya ndio maana mwili unauma jaribu kunywa panadol na pia uwe chemsha maziwa tia ndani ya maziwa kijiko 1 kidogo cha unga wa karafuu ipate kuchemka pamoja jikoni hayo maziwa kisha kunywa asabuhi, mchana na usiku siku 3 tumia hiyo dawa itaweza kukusaidia insha-Allah.
 
Shukrani mkuu. Kwa ushauri.
Nitafanyia kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…