JosephMagige
Member
- Apr 24, 2021
- 6
- 6
Mkuu pole sana wanaotaka picha watakuwa wanawake hao achana nao hawana msaada na wewe.Hiyo ni dalili ya mshipa wa ngiri maji aka kuna aina mbili za maradhi ya ngiri ngirı ya tumboni aka Hernia na ngiri inayoshuka katika mapumbu na wakati mwengine kuvimbisha mapumbu mojawapo ikawa kubwa na ingine ikawa ndogo. Ndio ikaitwa ngiri maji Au kwa jina lingine inaitwa busha (hydrocele)Habari member wenzangu wa jf mm ni kijana wa miaka 21 ningependa kupata msaada wa tatizo hili linalonisumbua kwa takribani mwaka 1 sasa la kuhisi maumivu makali sana katika korodani zangu hasa mara nyingi uume unapokuwa umesimama kwa muda mrefu au napokuwa na dem gheto baada ya kufanya romance kwa muda maumivu haya hutokea na pindi yatokeapo kuna kitu kama mshipa huonekana kutuna katika mfuko wa korodani ila baada ya muda hupotea na maumivu huisha kabisa nimejaribu kwenda hospital napomuelezea doctor huhisi ni hernia ila nimepiga ultra sound mara mbili zote majibu yake ni kuwa amna tatizo naombeni msaada wenu ndugu kwa yeyote mwenye uelewa na tatizo hili maana linanitesa sana
ameeleza hapo, soma vyema au mimi sijaelewa maelezo yake na maana ya hernia??Kapime ngiri iyo
Mkuu, nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo kama ilo. Maelezo yako ni exactly sawa na hali yangu. Mm ni zaidi ya 10 years sijapata solution. Nishaudhuria Sana hospital kuanzia ocean road, Hindu Mandal, Agha Khan etc. Now nimeamua kukausha tu. Japo hiyo hali nowdays hainitokei mara kwa mara, but still inatokea.Habari member wenzangu wa jf mm ni kijana wa miaka 21 ningependa kupata msaada wa tatizo hili linalonisumbua kwa takribani mwaka 1 sasa la kuhisi maumivu makali sana katika korodani zangu hasa mara nyingi uume unapokuwa umesimama kwa muda mrefu au napokuwa na dem gheto baada ya kufanya romance kwa muda maumivu haya hutokea na pindi yatokeapo kuna kitu kama mshipa huonekana kutuna katika mfuko wa korodani ila baada ya muda hupotea na maumivu huisha kabisa nimejaribu kwenda hospital napomuelezea doctor huhisi ni hernia ila nimepiga ultra sound mara mbili zote majibu yake ni kuwa amna tatizo naombeni msaada wenu ndugu kwa yeyote mwenye uelewa na tatizo hili maana linanitesa sana
Niliwahi kuwa na tatizo kama hilo, tatizo linaanza ukisimamisha kwa muda mrefu, yani usifanye romance muda mrefu sana epuka hiyo,Habari member wenzangu wa jf mm ni kijana wa miaka 21 ningependa kupata msaada wa tatizo hili linalonisumbua kwa takribani mwaka 1 sasa la kuhisi maumivu makali sana katika korodani zangu hasa mara nyingi uume unapokuwa umesimama kwa muda mrefu au napokuwa na dem gheto baada ya kufanya romance kwa muda maumivu haya hutokea na pindi yatokeapo kuna kitu kama mshipa huonekana kutuna katika mfuko wa korodani ila baada ya muda hupotea na maumivu huisha kabisa nimejaribu kwenda hospital napomuelezea doctor huhisi ni hernia ila nimepiga ultra sound mara mbili zote majibu yake ni kuwa amna tatizo naombeni msaada wenu ndugu kwa yeyote mwenye uelewa na tatizo hili maana linanitesa sana