Hiyo inaitwa cooker control unit.. Ipo specific kwa majiko ya umeme. Ipo hiviJamani nisaidieni, nyumbani kuna socket hii yenye swich mbili. Hapa nyumbani nina Jiko la umeme, je swich ipi hapi niiweke on. Pia nina microwave ambayo nikiwasha switch hiyo iliyokaribu na socket linafanya kazi vizuri tu, Je, nipo sahihi kwa matumizi ya microwave? Wakati natumia cooker lazima zote ziwe on au moja inakuwa off.
View attachment 986502
kumbuka unaweza fanya electrical installation ya jikoni kabla hata hujanunua vifaa vya kutumia mkuu.Hiyo switch aliyekuwekea hukumuuliza matumizi yake? au ulinunua /kupanga nyumba?
Uko sahihi mkuuHiyo inaitwa cooker control unit.. Ipo specific kwa majiko ya umeme. Ipo hivi
1. Jiko huungwa ndani kwa ndani kupitia conduit moja kwa moja kwenda kwenye jiko. unapowasha hicho kilichoandikwa cooker ON ndo unawasha jiko peke yake, then kama ni la plate moja au nne au zozote, utawasha plate husika kwenye jiko
2. Hiyo socket kwa pembeni, inatumika kama socket nyingine za nyumbani kwako. wakati unatumia jiko, hapo kwenye socket unaweza weka birika la umeme au jagi la kuchemsha maji...
3. Waya unaoleta umeme kwenye cooker control unit, pale inapoungwa, inapeleka umeme kwenye jiko na kwenye socket ya hapo pembeni. Kila moja inajitegemea kwenye kuwasha na kuzima
4. Size ya waya inayopeleka umeme hapo kwenye cooker control unit huwa ni kubwa (4 square millimeter) kuliko ya socket nyingine za ndani kwako (2.5 square millimeter)
Majibu yasiyokusaidia yavumilie tu kiongozi… KWENYE KUJIANDIKISHA HUMU JF, hutupimwi chochote..!!!
Mkuu nakushukuru sana kwa kudadavua. Haya mambo hatukuzaliwa tukiwa tunajua. Mimi ni mtundu kwenye vitu vya umeme lkn napenda umakini maana kosa moja goli moja.Hiyo inaitwa cooker control unit.. Ipo specific kwa majiko ya umeme. Ipo hivi
1. Jiko huungwa ndani kwa ndani kupitia conduit moja kwa moja kwenda kwenye jiko. unapowasha hicho kilichoandikwa cooker ON ndo unawasha jiko peke yake, then kama ni la plate moja au nne au zozote, utawasha plate husika kwenye jiko
2. Hiyo socket kwa pembeni, inatumika kama socket nyingine za nyumbani kwako. wakati unatumia jiko, hapo kwenye socket unaweza weka birika la umeme au jagi la kuchemsha maji...
3. Waya unaoleta umeme kwenye cooker control unit, pale inapoungwa, inapeleka umeme kwenye jiko na kwenye socket ya hapo pembeni. Kila moja inajitegemea kwenye kuwasha na kuzima
4. Size ya waya inayopeleka umeme hapo kwenye cooker control unit huwa ni kubwa (4 square millimeter) kuliko ya socket nyingine za ndani kwako (2.5 square millimeter)
Majibu yasiyokusaidia yavumilie tu kiongozi… KWENYE KUJIANDIKISHA HUMU JF, hutupimwi chochote ili kuamua uandikishwe au la..!!!
Nunua flecsible wire 4mm, usinunue plug usinunue ukisha unganisha kwenye jiko wire uende mojakwa1 adi kwenye cooker, Cooker ina inlet na outlet so wewe utaunganisha kwenye out let.Mkuu nakushukuru sana kwa kudadavua. Haya mambo hatukuzaliwa tukiwa tunajua. Mimi ni mtundu kwenye vitu vya umeme lkn napenda umakini maana kosa moja goli moja.
Mkuu Jiko langu limekuja bila power cable, power rating yake ni 4,300Watts. Je ninunue cable ya mm ngapi na je plug yake nayo iwe ni ya Amps ngapi? Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu.... Ila kwenye cooker unit mara nyingi hua wanatumia 6 mm sqr. kama sikosei.....Hiyo inaitwa cooker control unit.. Ipo specific kwa majiko ya umeme. Ipo hivi
1. Jiko huungwa ndani kwa ndani kupitia conduit moja kwa moja kwenda kwenye jiko. unapowasha hicho kilichoandikwa cooker ON ndo unawasha jiko peke yake, then kama ni la plate moja au nne au zozote, utawasha plate husika kwenye jiko
2. Hiyo socket kwa pembeni, inatumika kama socket nyingine za nyumbani kwako. wakati unatumia jiko, hapo kwenye socket unaweza weka birika la umeme au jagi la kuchemsha maji...
3. Waya unaoleta umeme kwenye cooker control unit, pale inapoungwa, inapeleka umeme kwenye jiko na kwenye socket ya hapo pembeni. Kila moja inajitegemea kwenye kuwasha na kuzima
4. Size ya waya inayopeleka umeme hapo kwenye cooker control unit huwa ni kubwa (4 square millimeter) kuliko ya socket nyingine za ndani kwako (2.5 square millimeter)
Majibu yasiyokusaidia yavumilie tu kiongozi… KWENYE KUJIANDIKISHA HUMU JF, hutupimwi chochote ili kuamua uandikishwe au la..!!!
Jiko lako ni la plate moja kwa hiyo 4,300W? I doubtMkuu nakushukuru sana kwa kudadavua. Haya mambo hatukuzaliwa tukiwa tunajua. Mimi ni mtundu kwenye vitu vya umeme lkn napenda umakini maana kosa moja goli moja.
Mkuu Jiko langu limekuja bila power cable, power rating yake ni 4,300Watts. Je ninunue cable ya mm ngapi na je plug yake nayo iwe ni ya Amps ngapi? Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
safiJiko lako ni la plate moja kwa hiyo 4,300W? I doubt
1. Kwa 4,300W, ukigawa kwa single phase voltage (assume maximum PF = 1) unapata 19.55 Amperes , almost 20A.
2. Wire wa kuweza kubeba 20A ni bila matatizo ni angalu 4 square millimeter. Cha kuangalia ni ware ulioleta umeme hapo kwenye cooker control unit nao ni wa 4? Je! circuit breaker inayoilisha umeme hiyo cooker control unit ni ya 25A au 32A? Je! hiyo breaker inalisha cooker control unit pekee? HAKIKISHA WAYA NI WA EURO CABLE
3. Jiko liungwe moja kwa moja kwenye cooker control unit, usiweke plug. Maana yake usitumie hiyo socket kuwa jiko lako la 20A.
Duuuh! Kaka ahsante kwa somo, ni kweli nimefungua kaka na nimeona ulichoelekeza kakaNunua flecsible wire 4mm, usinunue plug usinunue ukisha unganisha kwenye jiko wire uende mojakwa1 adi kwenye cooker, Cooker ina inlet na outlet so wewe utaunganisha kwenye out let.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Jiko ni la plate 2 pia lina oven. Picha hii hapa kaka. Pia ninao waya huu hapa, je utafaa?? Tazama picha hapa chiniJiko lako ni la plate moja kwa hiyo 4,300W? I doubt
1. Kwa 4,300W, ukigawa kwa single phase voltage (assume maximum PF = 1) unapata 19.55 Amperes , almost 20A.
2. Wire wa kuweza kubeba 20A ni bila matatizo ni angalu 4 square millimeter. Cha kuangalia ni ware ulioleta umeme hapo kwenye cooker control unit nao ni wa 4? Je! circuit breaker inayoilisha umeme hiyo cooker control unit ni ya 25A au 32A? Je! hiyo breaker inalisha cooker control unit pekee? HAKIKISHA WAYA NI WA EURO CABLE
3. Jiko liungwe moja kwa moja kwenye cooker control unit, usiweke plug. Maana yake usitumie hiyo socket kuwa jiko lako la 20A.
Kaka Jiko ni la plate 2 pia lina oven. Picha hii hapa kaka. Pia ninao waya huu hapa, je utafaa?? Tazama picha hapa chiniView attachment 986632View attachment 986635View attachment 986637View attachment 986638
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hana sababu ya kufanya looping kwenye jiko… kwa vile jiko ni ONE unit, lipo looped ndani tayari, hivyo kutakuwa na sehemu moja tu ya kuunga waya zake .. By moja I mean sehemu ya LIVE-L (RED WIRE), NEUTRAL - N (BLACK WIRE) AND EARTH - E (BARE WIRE)Huo unafaa mkuu angalia km jiko ni 3phase ufanyie looping kwenye jiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hili ni jukwaa la habari mchanganyiko.Nadhani hana sababu ya kufanya looping kwenye jiko… kwa vile jiko ni ONE unit, lipo looped ndani tayari, hivyo kutakuwa na sehemu moja tu ya kuunga waya zake .. By moja I mean sehemu ya LIVE-L (RED WIRE), NEUTRAL - N (BLACK WIRE) AND EARTH - E (BARE WIRE)
Kikubwa anachotakiwa kuwa makini nacho ni kwamba aunge red palipoandikwa L au opposite na ulipo mwekundu ALIOKUTA HAPO na zikingine hivyo hivyo
Kivipi mkuu?Kweli hili ni jukwaa la habari mchanganyiko.
Mkuu nashukuru sana. Kupitia ufafanuzi wako na wa mkuu ngalikihinja , nimeweza kuunga jiko kwa usahihi na kwa kutumia waya sahihi na sasa linafanya kazi vizuri sana mkuu. Mbarikiwe sana wakuu kwa kutokuwa wachoyo wa maarifaHuo unafaa mkuu angalia km jiko ni 3phase ufanyie looping kwenye jiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeweza kuunganisha jiko kwa elimu ya wakuu hapa. Japo nilikuwa na ABC lkn sikuwa na ujuzi kwenye masuala ya cooker installation.Sijuti kuwa macho na kuperuz jf haswa kwenye huu uzi. Kongole wote mlochangia humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pa1 mkuu nashukuru pia kwa kuweza kukusaidiaMkuu nashukuru sana. Kupitia ufafanuzi wako na wa mkuu ngalikihinja , nimeweza kuunga jiko kwa usahihi na kwa kutumia waya sahihi na sasa linafanya kazi vizuri sana mkuu. Mbarikiwe sana wakuu kwa kutokuwa wachoyo wa maarifa
Sent using Jamii Forums mobile app