kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Mmhh!!!Ndugu zangu naomba msaada wa kupata matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 1999,nina ndugu yangu namsaidia sasa nimeahindwa kuyapata online....
Asanteni sana.
Nenda maktaba ya taifa wana matokeo yote pale ya zamani utayapata hapo muhimu ujue mwaka ulio fanyika mtihani, kituo na jina na namba pia kama itakuwa rahisi wewe kupata matokeo hayoNdugu zangu,
Naomba msaada wa kupata matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 1999, nina ndugu yangu namsaidia sasa nimeshindwa kuyapata online.
Asanteni sana.