Msaada:Matibabu ya ugonjwa wa keratoconus

Humary

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
61
Reaction score
77
Habari wadau, Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa keratoconus. Huu ni ugonjwa wa macho unaosababishwa na kubadilika kwa umbo la mboni (corneal shape).

Ugonjwa huu umepeleka macho yangu kupoteza uwezo wa kuona kila siku zinaposonga kwan kwa sasa kipimo changu cha macho kinaonesha ni -13 na -15 kwa jicho la kulia na kushoto.

Nimejaribu tiba mbalimbali kama vile miwani, contact lenses bila mafanikio. Madaktari wamenishauri nifanye cross linking au corneal transplant, binafsi nimependelea kufanyiwa corneal transplant ila tatizo ni wap naweza kufanyiwa matibabu haya kwa gharama ambayo ni reasonable.

Nimetembelea hospitali mbalimbali hapa nchini hawana haya matibabu pia hata kupata connection pia imekuwa mtihani. Nimejaribu kugoogle pia bado sijapata maelezo yakunitosheleza.
 
Mkuu nicheki haraka uwezavyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom