Msaada: Maswali ya Bee-keeping kwenye interview

Msaada: Maswali ya Bee-keeping kwenye interview

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
GUYS MSAADA,

Kuna bi dada ameitwa kwenye usaili MWANZA.

Amesomea bee-keeping ngazi ya Diploma.

Alituma maombi kwa post ya BEEKEEPING ASSISTANT OFFICER.

ANAULIZA kama kuna mtu anayafahau maswali kwenye interview amsaidie apate mwanga kidgo. Wanaaza written wanamalizia Oral

Shushen maswali hapa
 
Utaulizwa kwa nini nyuki wanang'ata sana kuliko nyigu hadi sio poa?
 
Kama alisoma akafaulu anataka maswala Kwa ajili ya Nini au alipata diploma ya chupi
 
Kama alisoma akafaulu anataka maswala Kwa ajili ya Nini au alipata diploma ya chupi
Kuwa na majibu mazuri basi
Wanaouliza wote maswali ya interviews huko PSRS na wako humu kwamba hawakusoma !?
Just behave najua sio ujibu inavotakiwa ila ukisema hufaham ni bora zaidi
 
Wajomba zangu wanafuga nyuki na kuuza asali , wapo tabora kwenye asali inayosifiwa , na ndo Kuna icho chuo Cha nyuki, choka mbaya, tafuta ajira, kufuga nyuki na kuuza asali kuwe ziada mpendwa.
 
Back
Top Bottom