1. Masters by coursework option: hii utafanya course kwa kuingia darasani na kufanya mitihani mwisho wa semester. Option hii ni kwamba unafanya credit units nyingi mpaka kumaliza kuliko option ya project au thesis.
2. Masters with project option: unafanya project tu kama wanazofanya mwaka wa mwisho undergraduate na kufanya credit units chini kidogo ya anayefanya coursework only option.
3. Masters with thesis option. Utafanya credit units ndogo kuliko mtu anayefanya with project option.
4. Dessertation ni kwa mtu wa PhD tu
Note: course zinakuwa na level mfano kwenye 600, 700 na 800. Kila option inakuwa na idadi ya course katika kila level.