Tafute printer inayoitwa epson L800 ndo inafanya hyo kaziHabari za jioni wandugu,
Nina shida ya kununua mashine inayoweza kuprint id card zile ngumu za plastic kama ATM card, wapi naweza kupata na kwa bei gani? Na ningependa kupata kubwa inayoweza kutoa kadi nyingi kwa muda mfupi (speed)
Natanguliza shukrani
Lak 9naweza kuzipata wapi hizo epson l800 na shiling ngapi??
Lak 9
Unapatikana kona ipi ya dunia?