M minze manonu Member Joined Nov 27, 2013 Posts 50 Reaction score 16 Apr 24, 2014 #1 Habari ndugu wana janvi, kwa mwenye ufaham kuhusu mashine za kutengeneza sabuni za mche naomba anijuze upatikanaji wake pamoja na bei.
Habari ndugu wana janvi, kwa mwenye ufaham kuhusu mashine za kutengeneza sabuni za mche naomba anijuze upatikanaji wake pamoja na bei.
S Sacrifice Member Joined Feb 23, 2014 Posts 70 Reaction score 13 Apr 25, 2014 #2 zipo but kwa apa bongo cjajua.Chna znpatkana if unataka ni PM ntakupa contact zao.Ni nouma izo mashine ucpme, pia.......
zipo but kwa apa bongo cjajua.Chna znpatkana if unataka ni PM ntakupa contact zao.Ni nouma izo mashine ucpme, pia.......
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Apr 25, 2014 #3 Weka mambo hadharani na wengine wafaidike
N najua JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 224 Reaction score 54 May 6, 2014 #4 ukiona gharama kubwa ni pm namba yako nikuungishe kwa mtu akuelekeze jinsi ya kutengeneza sabuni bila kutumia mashine na zinakuwa nzuri tu
ukiona gharama kubwa ni pm namba yako nikuungishe kwa mtu akuelekeze jinsi ya kutengeneza sabuni bila kutumia mashine na zinakuwa nzuri tu
Ortega JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 844 Reaction score 209 May 8, 2014 #5 mbona sido wanazo wewe usihangaike
muggyen JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 347 Reaction score 254 May 8, 2014 #6 Ivi kutengeneza home based soap ni legal
Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,177 Reaction score 733 May 9, 2014 #7 muggyen said: Ivi kutengeneza home based soap ni legal Click to expand... 100% ! Ila ukianza kuzifanyia biashara basi usisahau kulipa kodi
muggyen said: Ivi kutengeneza home based soap ni legal Click to expand... 100% ! Ila ukianza kuzifanyia biashara basi usisahau kulipa kodi
yenyewe JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 621 Reaction score 94 May 9, 2014 #8 Ortega said: mbona sido wanazo wewe usihangaike Click to expand... Gharama ikoje kwa sido?
Ortega JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 844 Reaction score 209 May 9, 2014 #9 sijajua gharama yake, lakii unaweza kuwauliza hawana shida wale.
yenyewe JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 621 Reaction score 94 May 9, 2014 #10 Ortega said: sijajua gharama yake, lakii unaweza kuwauliza hawana shida wale. Click to expand... Okey asante
Ortega said: sijajua gharama yake, lakii unaweza kuwauliza hawana shida wale. Click to expand... Okey asante
M michepuko JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 1,192 Reaction score 346 May 9, 2014 #11 najua said: ukiona gharama kubwa ni pm namba yako nikuungishe kwa mtu akuelekeze jinsi ya kutengeneza sabuni bila kutumia mashine na zinakuwa nzuri tu Click to expand... mkuu nimeku pm ili jamaa anipigie,mpaka sasa hajapiga.
najua said: ukiona gharama kubwa ni pm namba yako nikuungishe kwa mtu akuelekeze jinsi ya kutengeneza sabuni bila kutumia mashine na zinakuwa nzuri tu Click to expand... mkuu nimeku pm ili jamaa anipigie,mpaka sasa hajapiga.