KIGOMA ONE Member Joined Aug 19, 2013 Posts 35 Reaction score 12 Jul 17, 2016 #1 Wadau kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufaham mashine nzuri na yakisasa ya kukoboa mpunga naomba anipe taarif hizo hapa kwa kuzingatia yafuatayo. 1.Gharama za mashine husika 2.Ubora wa mashine 3.Upatikanaji wake
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufaham mashine nzuri na yakisasa ya kukoboa mpunga naomba anipe taarif hizo hapa kwa kuzingatia yafuatayo. 1.Gharama za mashine husika 2.Ubora wa mashine 3.Upatikanaji wake