Ndeke afwege Senior Member Joined May 20, 2014 Posts 154 Reaction score 48 May 23, 2014 #1 Wakuu nahtaji mashine ya kufatulia tofar zile za kisasa za kupanga. Kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane ikiwa ni pamoja bei
Wakuu nahtaji mashine ya kufatulia tofar zile za kisasa za kupanga. Kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane ikiwa ni pamoja bei
M Mp Kalix2 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 3,048 May 23, 2014 #2 Ndeke afwege said: Wakuu nahtaji mashine ya kufatulia tofar zile za kisasa za kupanga. Kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane ikiwa ni pamoja bei Click to expand... Mkuu waone hawa jamaa National Housing and Building Research Agency wako pale Mwenge karibu na Kambi ya Jeshi. Ila tovuti yao inasumbua kufunguka ! National Housing Building Research Agency Click to expand...
Ndeke afwege said: Wakuu nahtaji mashine ya kufatulia tofar zile za kisasa za kupanga. Kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane ikiwa ni pamoja bei Click to expand... Mkuu waone hawa jamaa National Housing and Building Research Agency wako pale Mwenge karibu na Kambi ya Jeshi. Ila tovuti yao inasumbua kufunguka ! National Housing Building Research Agency Click to expand...
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 May 23, 2014 #3 Mashine ya umeme (vibrating) au ya mkono?Ya umeme zipo bei mil 2 na guarantee ya mwaka mmoja....Unapata mashine na ushauri....0764 468 469.
Mashine ya umeme (vibrating) au ya mkono?Ya umeme zipo bei mil 2 na guarantee ya mwaka mmoja....Unapata mashine na ushauri....0764 468 469.