Kwani viwanja vinalipiwa kodi? Kisheria kiwanja kama hujakiendeleza si chako! Ni mali ya serikali na unaweza nyanganywa bila fidia! Wanaoonekana wanalipia viwanja ni wale wenye nyumba! Yaani unalipa ushuru wa kiwanja ambacho juu yake umejenga nyumba! Nyumba ni mali yako lakini kiwanja cha serikali. Waliowengi tunalipia kupitia mita za LUKU kila mwezi