Msaada: Mahitaji ya kuomba mkopo Loans Board

Msaada: Mahitaji ya kuomba mkopo Loans Board

JANFE

Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
21
Reaction score
106
Jamani naomba kujua summary ya vitu vinavyohitajika ili kuomba mkopo loan board. Kuna vingine nina uhakika navyo lakini naomba kujua kama kuna kingine nimesahau.
  • Cheti cha form 4
  • Picha ya passport
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Picha ya mdhamini
  • Tsh. 30,000 (application fee)
Je, kuna mengine? Kuna mtu kaniambia akaunt ya benki CRDB ni kweli? Kama kuna lingine niongezeni jamani nisije nikapitwa maana natarajia kujaza kesho
 
Back
Top Bottom