Kiroroma
JF-Expert Member
- Feb 6, 2009
- 370
- 114
Leo niko ufukweni mwa bahari ya Hindi.Tuko na familia I.e Madame na watoto,tumevalia swimming suits za bei mbaya.Tunaingia majini na kuanza kurushiana maji Kama kuku.Kati yetu hakuna mwoogeleaji hate mmoja.Unaweza ukaelewa tunaogelea sehemu gani ya bahari.Kinachoniudhi na kunikera zaidni vile siwezi kwenda maji marefu kuskokuwa na uchafu kama hapa tulipo.Tabu tutafikaje huko na kuogelea hatujui?
Nimesikia hasira mnijuze darasa la kujifunza kuogelea liko wapi hapa Bongo nikaanze Jumatatu?
Nimesikia hasira mnijuze darasa la kujifunza kuogelea liko wapi hapa Bongo nikaanze Jumatatu?