Msaada: Mafao ya uzazi LAPF

wambra

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
15
Reaction score
2
LAPF huwa wanalipa mafao ya uzazi baada ya muda gani tokea ulipolipwa ya awali?
 
Mkuu unataka kuzaa kila mwaka upige hela acha hizo bhanaaa
 
Haijalishi hata uzae kila mwaka but maximum 4 children ie Uzao Mara 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…