wacha we.Mnadanganyana tu. Hakuna ukimwi
Siku ukiupata ukimwi ndo utajua kuwa upo au haupo..Mnadanganyana tu. Hakuna ukimwi
Kwahiyo unamaanisha zile dawa ndani ya masaa 72 zinawawahi HIV kabla hawajafika huko kunakozalishwa CD4?Mpaka sasa hivi ARV zina uwezo wa kuua wadudu wanaotembea kwenye damu. Kwakua HIV virus hana RNA ili kujitengenezea copy anajiunga na cell inayoweza kumpokea mwilini ambayo ni CD4, cell hii ni askari tuliye nae mwilini ambae anauwezo wa kupigana na maambukizi mengi tunayokumbana nayo. CD4 ikishaungana na HIV virus inakuwa shida kutambua kuwa HIV ni adui kwani anakuwa ameshajitengenezea copy zenye HIV. CD4 zinatokea kwenye sehemu moja karibu nyuma ya sikio sehemu inaitwa thymus ambako ndiko inakozalishwa ikihitajika mwilini. Kuteketeza HIV walioko. Huko mpaka sasa hivi ARV imeshindwa kuingia na kutokomeza lakini wanasayansi bado wanalifanyia kazi hili ikiwezekana kuzipa nguvu cell za mwili ziwe na uwezo wa kupigana na virus wa HIV na hivyo zitaweza kupenya mpaka kwenye hiyo sehemu ya thymus.
Ndani ya masaa 72 unaweza kuwawahi kabla hawajajiunganisha na cells za mwili na kuwateketeza kabisa. Hii ni njia ambayo imeleta matumaini kwa wengi.Kwahiyo unamaanisha zile dawa ndani ya masaa 72 zinawawahi HIV kabla hawajafika huko kunakozalishwa CD4?
Na vipi kuhusu ombi langu la image ya huyo kirus anayetutesa?
Nenda kasome post za decreptionUnamaana gani mkuu?
DeceptionUnamaana gani mkuu?
Nashkuru kwa taarifa mkuu. Je haiwezekani kuzitumia hizo hizo PEP kuwatibu waathirika wengine?Analyse, Post Exposure Prophylaxis (PEP). Ni dawa anazotakiwa kupata mtu ambaye anahisi amepata maambuziki ya Ukimwi. Zinatakiwa kumezwa haraka ndani ya Masaa 72 mara tu pale mtu anahisi amekuwa exposed na HIV. Ni kweli 'zinasaidia' sana kuzuia maambukizi endapo muhusika atatumia dawa hizo kikamilifu kama inavyoelekezwa; kwamba ndani ya masaa hayo 72 mtu anaanza dose ambayo mostly ni kidonge 1x1; or 1x2, hata hivyo tiba hii siyo 100% kwamba itazuia maambukizi. Sadly, mtu anaweza kutumia PEP Kits kikamilifu and still akapata maambukizi.
Key word" "ZINASAIDIA"
Lizy.