P Prof Griff JF-Expert Member Joined Aug 29, 2008 Posts 6,771 Reaction score 5,268 Jul 28, 2016 #1 Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukrani.
Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukrani.
M Misa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2013 Posts 838 Reaction score 135 Jul 29, 2016 #2 Ndjabu Da Dude said: Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukrani. Click to expand... Ni pm
Ndjabu Da Dude said: Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukrani. Click to expand... Ni pm
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,611 Reaction score 21,135 Jul 29, 2016 #3 Ukikosa kabisa nenda Game/Shoprite Mlimani City. Kwenye suala ls "bei poa" sana sina uhakika kama ile pale inareflect actual market price.
Ukikosa kabisa nenda Game/Shoprite Mlimani City. Kwenye suala ls "bei poa" sana sina uhakika kama ile pale inareflect actual market price.
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,929 Reaction score 1,172 Jul 30, 2016 #4 Misa said: Ni pm Click to expand... Yeye aku PM au wewe ndo um PM? Maana keshaeleza shida yake sasa PM ya nini, Kama ww unafanya hiyo biashara tena ungemuelekeza hapahapa ungekuwa unajitangaza pia.
Misa said: Ni pm Click to expand... Yeye aku PM au wewe ndo um PM? Maana keshaeleza shida yake sasa PM ya nini, Kama ww unafanya hiyo biashara tena ungemuelekeza hapahapa ungekuwa unajitangaza pia.