D DIBEGU Member Joined Apr 9, 2014 Posts 16 Reaction score 3 Nov 17, 2014 #1 Wanajamii natafuta sehemu ambayo wanategeneza madirisha ya aluminium ya ukubwa wa 5*6 kwa garama nafuu,napatikana dodoma nahitaji madirisha 10.
Wanajamii natafuta sehemu ambayo wanategeneza madirisha ya aluminium ya ukubwa wa 5*6 kwa garama nafuu,napatikana dodoma nahitaji madirisha 10.
C Chinga boy JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 412 Reaction score 103 Nov 18, 2014 #2 Ndanda Aluminium tuko Dar tutakufanyia kazi hata kama uko Dom .0719744806