Sigara Kali JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 3,713 Reaction score 8,770 Feb 21, 2019 #1 Waungwana wa MMU Najua jukwaa hili lina watu wa kila namna Sasa nimekuja kuwauliza madhara ya kiafya ya kutafuna Gomba a.k.a Mrungi/mirungi na kunusa Ugoro au kubwia Ugoro na kunywa pombe/wine ya Banana Ndimi Sigara Kali, Rombo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana wa MMU Najua jukwaa hili lina watu wa kila namna Sasa nimekuja kuwauliza madhara ya kiafya ya kutafuna Gomba a.k.a Mrungi/mirungi na kunusa Ugoro au kubwia Ugoro na kunywa pombe/wine ya Banana Ndimi Sigara Kali, Rombo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Night shadow JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 585 Reaction score 1,112 Feb 21, 2019 #2 Ukiuliza madhara ya kumbandua mama mwenye nyumba nitag takuja kujibu.