MSAADA: Machine za kusaga mahindi

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
WanaJF naomba msaada wenu

Nataka kununua Machine ya kusaga Mahindi hapa Arusha au naweza kuagiza Moshi kwa ajili ya kamrdai kadogo ninakotaka kufungua,



  1. Nimefunga umeme wa three phase, na nimeishajenga banda la kuweka machine.

  1. Sasa nataka kununua kati ya machine ya kinu cha kusaga size 75 motor HP 30 au size 50 motor HP 30
  2. Swali: Machine size 75 na 50 matumizi yake kwa umeme yanaendaje? nataka kujua kusaga kilo 10 au 20 unatumia UNIT ngapi za UMEME
 
Kiongozi kwanza hongera kwa hatua uliyofikia ila naona kama kulikuwa na mada inayohusiana na yako huku nikiipata nitailink hapa.
 
Ninazo mashine ziko mto wa mbu naziuza kama uko serious call me on 0754340188
Ni ngumu na utafurahi mwenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
motor hp 30 itafanya vizuri kwenye kinu size 50, ukifunga size 75(zamani tuliita newmen 75) itakua ndogo,. kwa kawaida size 75 inafungwa motor hp40, hakikisha mzunguko wa kinu chako usipungue 4200rpm hapo namaanisha utasaga 20kg chini ya sekunde 90! utapata faida.
 
samahani ni chini ya sekunde 60!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…