Msaada, mac os x 10.5 boot CD

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
67
habari rafiki, kuna jamaa alijichanganya kuinstall windows kwenye macbook pro ya 2006 bila kutumia bootcamp. Kilichotokea ni kufuta OS iliyokuwemo na installation kutokamilika, kwani inamuambia hiyo OS ni 64 bit na CPU yake ni 32 bit. Hali kadhalika nilipompa dvd ya mountain lion ilimwambia haisupport kwenye 32-bit. Kudownload kwenye torrents kwa kutumia MediaGet download speed ina star 1 (spidi ndogo) ukilinganisha na 10.7 au 10.8. Hivyo kama kuna mtu anaeweza kusaidia kupatikana kwa OS X Leopard au 10.6, msaada wake unahitajika sana. Ahsanteni


NB. OS X 10.6 zenye spid kubwa ni kubwa zaid ya 4.7GB hvyo inakuwa ngumu kuziweka kwenye DVD. Au kama kuna njia mbadala ya kuzifanya zienee kwenye dvd pia tunaomba msaada.
 
habari rafiki, kuna jamaa
alijichanganya kuinstall
windows kwenye
macbook pro ya 2006 bila
kutumia bootcamp.
Kilichotokea ni kufuta OS
iliyokuwemo na
installation kutokamilika,
kwani inamuambia hiyo
OS ni 64 bit na CPU yake ni
32 bit. Hali kadhalika
nilipompa dvd ya
mountain lion ilimwambia
haisupport kwenye 32-bit.
Kudownload kwenye
torrents kwa kutumia
MediaGet download speed
ina star 1 (spidi ndogo)
ukilinganisha na 10.7 au
10.8. Hivyo kama kuna
mtu anaeweza kusaidia
kupatikana kwa OS X
Leopard au 10.6, msaada
wake unahitajika sana.
Ahsanteni
NB. OS X 10.6 zenye spid
kubwa ni kubwa zaid ya
4.7GB hvyo inakuwa
ngumu kuziweka kwenye
DVD. Au kama kuna njia
mbadala ya kuzifanya
zienee kwenye dvd pia
tunaomba msaada.
 
Nicheki ninayo 10.6 ila ni kubwa saana mpaka 8gb dvd
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…