MwanaSaikolojia
Senior Member
- Jan 9, 2015
- 197
- 62
Well said mkuu, ongezea na refreshment pia wanatoa.Superfeo ndio king of Dar-Songea. Ni Yutong 2 by 2. safe, comfortable, hutajutia unless otherwise.
Superfeo
Superfeo ndio king of Dar-Songea. Ni Yutong 2 by 2. safe, comfortable, hutajutia unless otherwise.
Well said mkuu, ongezea na refreshment pia wanatoa.
Asiwe na wasiwasi kuhusu simu yake kuishiwa chaji, kikubwa awe na USB yake chaji ipo.
Chaji kwenye siti yako
Super feo ni classic hasa bus namba moja unaweza kucharge simu kwenye siti na wana WIFI free, Bus namba 2 na 3 ni youtong, New force ziko fresh zile Zhong Tong ila siti zake honest zinaumiza na safari ya songea ni ndefu na inachosha

Thanks ..naenda ku book tiket Super feo .
Huduma ya Wi-fi sidhani mkuu, hivyo vingine nakubaliana na wewe.
wiki iliyopita nimetoka Songea-Dar na SuperFeo bus no 1.
Nyi watu mnaosafiri kwa mwaka moja manazinguwa sana!Habari zenu wakuu.
Nilikua naomba mnifahamishe kwa anayejua mabasi gani mazuri yanaoenda Songea.
Tips:
-Yawe classic
-Safety .
Natanguliza shukrani.
Mkuu bus namba moja ni lile lenye rangi ya mbeya city ndo linahiyo huduma ya kucharge Yale mengine hayana
Na huyo jamaa nyuma ya basi anafanya nini? Anacharge simu?
Mmetaja mabasi. Hamjasema nauli zake zikoje.
Na huyo jamaa nyuma ya basi anafanya nini? Anacharge simu?
SUPERFEO yenye USB Na WiFi ni HIGER siyo Yutong