Msaada mabasi ya kwenda Mwanza kutokea Dar

Young Gwahe

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
53
Reaction score
163
Habari bwana Jf nilikuwa naomba MSAADA wa gari nzuri na za haraka za kwenda mwanza. Asanteni Nawasilisha
 
Za kwanza kufika huwa ni kisbo,kisesa, bus nyingi za bei ni nzuri kuanzia 45
 
Panda allys sport saa tano kasoro unashuka nyegezi........basi mpya ya kisasa...

Ukishindwa kamata JM luxury ya musoma utashuka mwanza mapema...

Then ndio kapande spana mkononi kibo na kisbo utawahi pia lakini yanahekaheka kinyama.
 
Sorry,ally's walifungiwa root yao ya dar-mwanza vip wameanza tena safari?
 
panda Zuberi au Kisesa hutajutia yana uhakika wa safari , wanajali muda na ni salama kabisa.
 
Dar lux zuri sana
Ni utafrah njian sio hayo mengine unasafiri kama uko na bajaj
Na kisesa mazuri mno
 
Back
Top Bottom