Amphotericin b, fluconazole au griseofulvin.Habari zenu Wana JF.
Nina mdogo wangu (sio wa damu) anasumbuliwa na kinachodaiwa kuwa ni fangasi. Kwa maelezo yake ni kwamba Hali hiyo imekuwa ikimsumbua tangu akiwa mdogo...
Shukrani ndugu.Amphotericin b, fluconazole au griseofulvin
Mimi ninao Fungas Sugu zaidi ya 10Yrs hiyo Griseofulvin na wenziwe hao wadunda, nifanyaje? Msaada tafadhali.Amphotericin b, fluconazole au griseofulvin.
Mimi ninao Fungas Sugu zaidi ya 10Yrs hiyo Griseofulvin na wenziwe hao wadunda, nifanyaje? Msaada tafadhali.
Nashukuru Mkuu.Tafutaaa ketoconazole shampooo na itraconazole capsules zitakusaidiaaaa sanaaaa
Griseofluvin ulikunywa ili utibu fungus gani? Huwaga inachukua muda mrefu sana yani hata week 4 means mwezi mzima kuona results lakini Ukipata na dawa ya Kupata ambayo ni TERBINAFINE bhasi utawahi kuona matokeo mapema.Nashukuru Mkuu.
Naomba kuuliza nilikuwa Natumia hiyo Griseofulvin kwasasa takribani siku 13 na sioni Mabadiliko Je, naweza change immediately kwenda kwenye Tiba mpya hiyo Intraconazole Capsules bila kuathiri afya?.
Nashukuru Mkuu.
Naomba kuuliza nilikuwa Natumia hiyo Griseofulvin kwasasa takribani siku 13 na sioni Mabadiliko Je, naweza change immediately kwenda kwenye Tiba mpya hiyo Intraconazole Capsules bila kuathiri afya?
Na pia ningeomba unisaidie naweza meza kwa muda gani hiyo Intraconazole Capsules ili kutibu hawa Fangasi Sugu? Ahsante.
Bahati Mbaya Daktari hakusema Fangasi aina gani.Griseofluvin ulikunywa ili utibu fungus gani? Huwaga inachukua muda mrefu sana yani hata week 4 means mwezi mzima kuona results lakini Ukipata na dawa ya Kupata ambayo ni TERBINAFINE bhasi utawahi kuona matokeo mapema.
Ishu ni unatibu fungus gani?
Ahsante saana.Kidonge kimojaaa daily kwa wiki mbili !!! Na shampoo unaogeaaa maraaa 3 kwa wikii fataa maelekezoo utakayopewa then after that utaonaaa matokeoo tuu !!! Change tu
Mkuu, Samahani nina shida nawewe DM.Kidonge kimojaaa daily kwa wiki mbili !!! Na shampoo unaogeaaa maraaa 3 kwa wikii fataa maelekezoo utakayopewa then after that utaonaaa matokeoo tuu !!! Change tu
terbinafineMimi ninao Fungas Sugu zaidi ya 10Yrs hiyo Griseofulvin na wenziwe hao wadunda, nifanyaje? Msaada tafadhali.
Maelezo zaidi kidogo Mtaalam!terbinafine