Msaada: Maana ya Kufanya Mapenzi

Mzalendowetu

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
87
Reaction score
36
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitatizwa na maana ya neno mapenzi. Utakuta mtu akisema amefanya mapenzi na ......... Kwa ufahamu wangu, kufanya mapenzi na mtu ni kwa yule unayempenda tu. Sasa kwa wale wanaokutana kwa mara ya kwanza usiku wakavunja amri ya 6 tena gizani bila hata kuonana vizuri sura zao, nao wamefanya mapenzi?
 
Ni kuharibu lugha na matumizi yake, kuna tofauti kati ya kufanya ngono na kufanya mapenzi. Hata wenzetu wazungu wanatofautisha hivyo kufanya sex and making love, lakini still kuna matumizi hayaendani

Hao wa gizani ni ngono tu hapo....heheh usisahau kuna wanaobakana pia.....
 

Nadhani ushaskia Ikitajwa ngono Zembe na kwa kinyume chake maana yake kuna ngono salama na kwa ujumla halisi wa Haya yote ni kuwa zote ni ngono, kwa yoyote atakae fanya ngono yoyote Kat ya hizo 2, kwa ujumla tunasema wamengonoka.
Kutokana na hii connection naomba pia mjadala uwe extended na kujadil pia tofauti ya Ngono na mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…