Msaada: Lotion nzuri kwa uso wenye mafuta

Mimi uso wangu una mafuta sana nikashauriwa nitumie cleanser inaitwa vovi aiseehh sitaiacha kabisaa ni nzuri na inapatikana maduka yote ya s.h.amon bei ni 15k
 
Nunua seti ya pure skin au love nature tea tree ya oriflame itakusaidia
 
Jamani na mimi natumia medivin cream nataka kuacha, je nitumie nini ili kuondoa cream??
 
Kunywa maji mengi
watakuona kama unachekesha. Ila ukweli ni kwamba niliachana na aina yoyote ya mafuta7/losheni baada ya kugundua kila nikipaka natokwa na vipele usoni nilibadilisha aina nyingi za losheni pasi na mafanikio ...

ila kwa wadada kuacha kabisa kutumia sidhani

queen jaribu sabuni zenye dawa...
 

rose water ndo nini?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…