KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wanajf wenzangu naombeni msaada kwa wataalamu waliokwishaitumia au wanaofahamu jinsi ya kuifanyia installation kuanzia kwenye antena configulation maana ukitumia frq hizi tunazozitumia kwenye hizi lnb za kawaida za cband haikubali.
antena seting . Low lnb freguency weka 5750. Kama utopata picha hizo freguency zidisha au punguza kwa 600 kwa mfano tbc ni 3891+600=4491 hii ndo freg yako ikigoma punguza 600
high frq sio muhimu waweza hacha au weka 5750 sr itabaki vilevileNa lnb high frq iweje? Na symbolate inabakia hivyohivyo.
nnavyofaham single solution lnb,kwanza kama wataka kuitumia kwa local channels itv,tbc na nyinginezo,unapoishika lnb na kuitazama kwa ndani wakati kichwa chake chatazama juu,kuna kitu kama kimbao kidogo kina rangi ya njano au orange,kile kinakuwa ndani ya box la lnb uliyonunua.Chukua hicho kimbao,wakati lnb umeishika kama nilivyokueleza,endapo utaingiza hicho kimbao ndani ya lnb kikiwa kimesimama wima,manake hapo una config ITV,EATV,CAPITAL na TV MOZAMBIQUE,ziwe VERTICAL,na STAR TV,TBC,CH 10 kuwa HORIZONTAL,na endapo utakiingiza kikiwa kimelala,manake itakuwa umefanya kinyume na itv,eatv,capital na mozambique zitakuwa horizontal na nyingine zitakuwa vertical.Hiyo ni set up ya lnb yeyote ya C band,baadae tunaendelea na config ya single solution,Channel 10 is back,intelsat 906,4065 V/H 2848

hujanielewa kaka,namaanisha hvii,wakati umekiweka kikiwa wima,zungusha hiyo lnb yako nyuzi 90,alafu kiangalie,ndivyo nnavyomaanisha ninaposema,ukiingize kikiwa kimelala kaka