Mkuu google kwa sana...
Nilipo install ubuntu mwaka jana ilinisumbua mwanzoni lakini Google ili solve karibu asilimia 99 ya shida zangu
Kuna kitu inatwa wine inabidi uinstall kwanza ndio itawezesha kuistall exe files
Pia join Furums yao humo uki search au kuuliza chochote utapata majibu Linux Mint Forums • Index page
Kuna options mbili kama alivyosema mheshimiwa apo juu....wine ni option moja wapo..ila kunawakati wine hushindwa kurun softwares kubwa...ndo inapokuja option ya pili ya kitu kinachoitwa "play on linux". Hii inauwezo wa ku handle softwre kama microsoft office, explorer, game eg fIfa 2011 n many othrs