division 5
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 204
- 240
Wakuu msaada tafadhali ,nimeweka line ya smart kwenye simu tajwa hapo juu(huawei y360) lakini imegoma kusoma internet
Msaada Tafadhali
Chief-Mkwawa
Msaada Tafadhali
Chief-Mkwawa
Mkuu msaada wa kutengeneza APN kwasababu nlotengeneza bado inagomaTengeneza Apn utapata internet