Msaada: Latest Kwaito Hits..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Salam wakuu,
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa nyimbo za kwaito sema mara nyingi hua nazisikia tu mwishoni nashindwa kutambua jina la wimbo au msanii. Naomba kwa wakuu wanaofatilia kwaito basi waweze kuniorodheshea list ya nyimbo mpya za kwaito. Shukrani!
 
Wakuu Nami nawasubir mnipe HINDIAN ROMANTIC AND SAD SONGZ za polepole (mfano Teri Meri-Bodygurd)...ambazo ziko hot!
 
Naona wadau bado hawatuelewi...ngoja tusubr!
 
na mie naomba mwenye kujuwa michiriku na minanda jamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…