Msaada: Laptop yangu inapata moto na kujizima

Msaada: Laptop yangu inapata moto na kujizima

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,119
Reaction score
1,808
Laptop yangu nikiiwasha inapata moto sana kisha inazima, sasa kwa anayefaham naomba anifahamishe tatizo ni kitu gan? aksanten sana , nawasilisha
 
Laptop yangu nikiiwasha inapata moto sana kisha inazima, sasa kwa anayefaham naomba anifahamishe tatizo ni kitu gan? aksanten sana , nawasilisha
Je feni ya laptop yako inafanya kazi? Kama sio, itakubidi uipeleke kwa fundi wakaibadilishe hiyo feni ama kuifanyia repair.
 
Aksanten sana jaman kwa kunifahamisha juu ya hii laptop, mungu awabarik
 
Sasa umefagamishwa je tatzo umelitatua au mi ndio cjaelewa ulikuwa unataka nn
 
Laptop yangu nikiiwasha inapata moto sana kisha inazima, sasa kwa anayefaham naomba anifahamishe tatizo ni kitu gan? aksanten sana , nawasilisha
Itakuwa na tatizo upande wa cooling system,kama umekuwa na tabia ya kuiweka kwenye godorom au sofa wakati unaitumia inaweza changia.Sema uko wapi vijana waje wakusaidie.
Inajizima joto likizidi ili kuiokoa CPU,so ma IT wengi wapo hapa wamejiajiri sema uwasupport wakusaidie.
 
Back
Top Bottom