samahani,wakati una instal Operating system,ulitumia CD /DVD au ilikuwa kwenye flash memory?Au hukuinstal wewe umeinunua ukakuta OS iko installed?WAKUU HABARINI,NINA LAPTOP YANGU AINA YA HP PAVILION G6 INA TABIA YA KUSTUCK NINAPOKUWA NAITUMIA NA INAANDIKA KWAMBA"Boot Device Not Found Install an Operating System on your Hard disk (3FO).......Na options nyingine za memory test na hard disk checking baada ya kuzifuatilia hizo checking inaniambia memory test ime pass lakini local disk check inasema SMART Check and Long DST are not installed......tatizo nini na nawezaje kulirekebisha?
Ok,tafuta mtaalamu unaweza anza kwa kufungua hard disk na kuifunga tena inawezekana iko loose,then unaweza jaribu kurepair OS na unaweza kuangalia "'booting order" first boot device ni ipi?tafuta mtaalam aangalie kuna vitu vingi anaweza jaribu kufanya.jamaa aliyeniwekea alitumia CD
dawa yake ni ku install windows
Mwenyewe nilihuaga tatizo ni window....ila baada ya kuweka window 8 ikatulia week Moja mambo yakaendelea tena....vilevile
Kwahyo ulifanyaje?Sorry typing error.......nilihuaga=nilijuaga...
Je kama uki install wondow inaingia ila haifiki mwisho, ikifika mwisho inaganda au ndio inaanza upya tatizo nini?
Jaribu kufungua bios ambayo unaweza kuclick f2 au f10, alafu nenda kwenye SYSTEM CONFIGURATION>LEGACY SUPPORT>ENABLE. alafu save na exit, alafu jaribu kuiwasha tena.