si rahis xana kwa port kufa zote 4 kwa wakat 1 ( hardware ) zngekua zmekufa za upande 1 hapo ingekua sawa. Kama zmekufa zote 4 kuna posibility kubwa ilo ni tatzo la softwares, jaribu kufanya soln zifuatazo
1. update drivers kwa kutumia driver pack nakushaur utumie ya 2016 ni best kwa ilo tatzo
2. update au activate window km haijawa activated or hauja update
3. shusha window