Msaada: Laptop yangu haisomi usb

Msaada: Laptop yangu haisomi usb

walalahoy

Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
14
Reaction score
4
MSAADA ANAE JUA JAMANI, LAPTOP YANGU AINA YA LENOVO HAI DETECT FLASH WALA USB YOYOTE KATIKA PORTS ZOTE....MSAADA NIFANYAJE???
 
Hardware problem hiyo mkuu, hayo ndo madhara ya PC za bei poa, matatizo kibao sawa na Toshiba za kisenge sana, mi ninayo port moja tu kati ya Tatu ndo inafanya kazi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie hapa, ulivyoinunua ilikuwa inafanya kazi?
 
Tuanzie hapa, ulivyoinunua ilikuwa inafanya kazi?
NIMEITUMIA MWAKA WA TATUI SASA HAIJAWAHI FANYA IV...HILI TATIZO LIMEANZA JUZI TU MBAKA SASA HAKUNA PORT INAYON SOMA USB WALA FLASH
 
si rahis xana kwa port kufa zote 4 kwa wakat 1 ( hardware ) zngekua zmekufa za upande 1 hapo ingekua sawa. Kama zmekufa zote 4 kuna posibility kubwa ilo ni tatzo la softwares, jaribu kufanya soln zifuatazo

1. update drivers kwa kutumia driver pack nakushaur utumie ya 2016 ni best kwa ilo tatzo
2. update au activate window km haijawa activated or hauja update
3. shusha window
 
Back
Top Bottom