Msaada laptop yangu haisomi USB

Jaribu kutoa battery kwa dakika 5 hivi kisha rudisha, yaweza kusaidia.
 
ni vema ukatwambia unatumia Pc gani, na ina OS gani, ila pia tatzo lilianzaje, ili watu waanze kutoa maoni yao..

ila kwa hatua za awali jarbu kuchungulia hata kwa macho kama port hazijawa na physical demage, kama la jarbu kuangalia drivers, au zi update
 
Back
Top Bottom