nandembako JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 655 Reaction score 528 Jul 20, 2017 #21 thA bubs said: Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu, Msaada wenu wakuu sent by IPhone 6 using jamii forum app Click to expand... Wakati inawaka press f8 then kuna ukurasa utatokea chagua start in safe mode baadae ikiwaka unaenda kufanya recovery,nipm nikusaidie zaid. by emma mjasiriamali
thA bubs said: Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu, Msaada wenu wakuu sent by IPhone 6 using jamii forum app Click to expand... Wakati inawaka press f8 then kuna ukurasa utatokea chagua start in safe mode baadae ikiwaka unaenda kufanya recovery,nipm nikusaidie zaid. by emma mjasiriamali