Msaada laptop yangu dell latitude d640

Msaada laptop yangu dell latitude d640

Joined
Sep 26, 2012
Posts
26
Reaction score
1
hii laptop ukiwasha tu inasema uweke pasword sa hizo pasword mi sizijui kuna m2 nlimpa kaleta ipo ivo nimejaribu kutoa hdd,ram,cmos battery wap msaada wenu jamani nifanyaje?
 
hii laptop ukiwasha tu inasema uweke pasword sa hizo pasword mi sizijui kuna m2 nlimpa kaleta ipo ivo nimejaribu kutoa hdd,ram,cmos battery wap msaada wenu jamani nifanyaje?

Umejaribu kumuuliza huyo mtu aliyekuletea?

Kama hauwezi kumuuliza huyo mtu aliyekuletea beba hiyo laptop nenda nayo kwenye kituo kidogo cha polisi kilicho karibu na wewe ujisalimishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom