Simple sana ku solve hii! Tatizo hujawa detailed kwanza ni windows gani?
Kama ni Windows 7 ndo hasa ina ujinga huu, cha msingi uwe na windows inayoendana na iliyopo/iliyo corrupt! Kama huna tafuta hata kwa jamaa tengeneza bootable kwenye flash then uwe kama unapiga windows ila ww utachagua ku repair windows then ita repair na kufix hiyo Boot Manager is missing bila kupoteza chochote na mashine itawaka vizuri, hii ndo njia rahisi na ya uhakika zingine kufanikiwa ni ngumu nime experience hili tatizo mara nyingi sana na ku solve kwa njia hii...
Angalizo! Sometimes after ku repair mashine/windows inaweza kua nzito na kuchelewa kuwaka! Kwa ushauri wangu baada ya kufanikiwa hili ni heri uweke data zako vizuri then upige windows upya kabisa..